Sababu za shinikizo la damu.
Shinikizo la juu la damu ni msukumo wa damu ulio juu kuliko inavyotakiwa kwa muda mrefu. Msukumo wa damu huhitajika mwilini ili kusambaza chakula, oksijeni na kutoa uchafu. Vitu vifuatavyo vinaweza kusababisha shinikizo la juu la damu:
Uvutaji sigara.
Unene na uzito kupita kiasi.
Unywaji wa pombe.
Upungufu wa madini ya potassium.
Upungufu wa vitamini D.
Umri mkubwa.
Ongezeko la kemikali kwenye figo (renin)Kushindwa kufanyakazi kwa kichocheo kiitwacho insulin
Uanishaji wa shinikizo la damu
Presha ya kawaida <120 <80
Presha inayoelekea kupanda 120-139, 80-89
Presha hatua ya 1, 140-159, 90-99
Presha hatua ya 2,160-179,100-109
Presha hatua ya 3 ≥180 ≥110
No comments:
Post a Comment