Tabia
10 zinazoharibu Figo
1.
Kubana
mkojo muda mrefu
2.
Kutokunywa
maji ya kutosha kila siku
3.
Kutumia
chumvi nyingi kuzidi kiwango
4.
Kula
nyama mara nyingi
5.
Kutokula
chakula cha kutosha
6.
Kuchelewa
kujitibu maambukizi madogo madogo haraka na kwa usahihi
7.
Kutumia
visivyo dawa za kutuliza maumivu
8.
Kutumia
dawa kwa ajili ya insulin kwa muda mrefu
9.
Kunywa
pombe kupita kiasi
10.
Kutopata
muda wa kutosha kupumzika
Kunywa glasi 2 za juisi ya parachichi kila siku kutaziweka figo zako katika hali ya usafi na afya.
No comments:
Post a Comment